Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Travel

Movie

Cute

Love Zone

Slider

Documentary

Videos

Masharti ya Matumizi

Upatikanaji na utumiaji wa ' www.news4timeblog.com' ndani na nje ya Tanzania unawezeshwa na N4T (watumiaji wa kimataifa wa tovuti wanaweza kuona matangazo ya biashara katika kurasa kadhaa zinazotolewa na kitengo cha kibiashara cha News4timeblog, kwa masharti yafuatayo:
1. Kwa kutumia www.news4timeblog.comunakubaliana na kanuni hizi, ambazo zinaanza kutumika mara tu unapoanza kuingia www.news4timeblog.com  Endapo haukubaliani na yote tafadhali usiingie, kutumia na /au kuchangia www.news4timeblog.com.

2. N4t inaweza kubadilisha masharti haya mara kwa mara kwa hiyo ziangalie mara kwa mara. Utumiaji wako wa
www.news4timeblog.comutachukuliwa kuwa kukubaliana na masharti yaliyoongezwa au kubadilishwa. Endapo haukubaliani, unatakiwa kuacha kutumia tovuti
hii. Endapo kuna mgongano wowote kati ya masharti haya na masharti yanaweza kuonekana sehemu nyingine za
www.news4timeblog.com(ikiwa ni pamoja na taratibu za kurasa) basi mapya na yanayohusika zaidi yatatumika.
Masharti ya matumizi yanaendelea:
• Utumiaji wa
 www.news4timeblog.com
• Haki ya Hati miliki
• Uchangiaji katika
www.news4timeblog.com
• Jumla
 
• Wiji
3. Unakubaliana kutumia www.news4timeblog.comkwa shughuli zinazokubalika kisheria, na vyovyote vile isizuie haki, kukataza mtu yoyote kutumia na kufaidi N4T
Mambo yanayokatazwa ni pamoja na unyanyasaji au kusababisha tabu au usumbufu kwa mtu yoyote, kusambaza maudhui yenye matusi au kuvuruga mtiririko wa kawaida ndani ya www.news4timeblog.com
Haki ya Hatimiliki
4. Haki miliki zote, nembo za biashara, haki za usanifu, hateza na haki nyingine za mali akili (zilizosajiliwa na ambazo hazijasaliwa) kwenye maudhui ya www.news4timeblog.comna maudhui yote (ikiwa ni pamoja na programu) zilizoko kwenye tovuti ambazo zitaendelea kuwa mali ya N4T au wenye leseni wengine (ambao pia ni pamoja na watumiaji wengine).
Hauruhusiwi kunakili, kufyatua upya, kuchapisha upya, kukongoroa, kupangua, kubadilisha kihandisi, kupakua, kutuma, kutangaza, kurusha, au kutoa kwa umma, au vinginevyo kutumia maudhui ya 
www.news4timeblog.comkwa jia yoyote isipokuwa kwa matumizi yako binafsi na isiwe matumizi ya kibiashara.
Pia unakubali kutokukabilina, kubadilisha au kutengeneza kazi nyingine kutokana na maelezo yoyote ya www.news4timeblog.comisipokuwa tu kwa matumizi yako binafsi yasiyo ya kibiashara. Matumizi mengine yoyote ya maelezo ya www.news4timeblog.comyanahitaji idhini rasmi ya N4T kimaandishi.
5. Majina, picha na nembo zinaitambulisha www.news4timeblog.comau pande nyingine na bidhaa zao na huduma zinalindwa na hakimiliki, haki ya kubuni, na alama za www.news4timeblog.comna/au pande nyingine. Hakuna sehemu ya masharti haya itakayochukuliwa kama ni kutoa leseni yoyote au haki ya kutumia alama yoyote ya kibishara, haki ya kubuni au haki miliki ya www.news4timeblog.com  au upande mwingine wowote ule.
6. Kwa kubadilishana mchango wowote (ikijumuisha maandishi yoyote yale, picha, michoro, picha za sinema au sauti) na N4T, unaridhia kuipa N4T, pasipo malipo, idhini ya kutumia mchango huo kwa namna yoyote ile inavyotaka (ikijumuisha kurekebisha na kubadili mchango huo kwa sababu za kiutendaji na kiuhariri) kwa ajili ya huduma za N4T katika chombo chochote kile cha habari ulimwenguni kote (ikijumuisha katika tovuti ya www.news4timeblog.cominayopatikana kwa watumiaji wa kimataifa). Katika mazingira mengine N4T huenda ikabadilishana mchango wako na watu wengine au pande nyingine zinazoaminika.
7. Hakimiliki katika mchango wako itabakia kuwa yako na idhini hii si ya kipekee, hivyo unaweza kuendelea kutumia mchango huo katika namna yoyote ile ikiwemo kuruhusu wengine kuutumia.

8. Ili N4T iweze kutumia mchango wako, unathibitisha kuwa mchango wako ni kazi halisi yako mwenyewe, haidhalilishi na haikiuki sheria zozote za Uingereza, kwamba unahaki ya kuipa N4T idhini ya kutumia mchango huo kwa madhumuni maalum yaliyotajwa hapo juu, na kwamba una ridhaa ya mtu yeyote yule anayeweza kutambulika katika mchango wako au ridhaa ya mzazi wao au mlezi iwapo wana umri wa chini ya miaka 16.
9.Kwa kawaida tunaonyesha jina lako sambamba na mchango wako, labda uwe umeomba vinginevyo, lakini kwa sababu za kiutendaji wakati mwingine haiwezekani kutekeleza ombi lako. N4T huenda ikahitaji kuwasiliana na wewe kwa madhumuni ya kiutawala na uhakiki kuhusiana na mchango wako au kuhusiana na miradi maalum. Kwa maelezo yote ya wakati na jinsi gani tunaweza kuwasiliana nawe tafadhali angalia N4T [Sera ya Faragha] pamoja na masharti yoyote yale katika nchi husika pale yanapohitajika.
10.Tafadhali usijihatarishe wewe mwenyewe au wengine, kuchukua hatari yoyote ile isiyo na ulazima au kuvunja sheria yoyote ile wakati unaandaa mchango wako ambao huenda ukabadilishana na N4T.
Hakimiliki
* Haki miliki zote, alama za biashara, haki za kubuni na haki nyingine zote za kazi za ubunifu (zilizosajiliwa au kutosajiliwa) ndani na katika www.news4timeblog.comna maelezo yote (ikijumuisha matumizi yote) yaliyowekwa katika tovuti vitabakia kuwa chini ya N4T na au waliopewa kibali cha leseni na N4T (ikijumuisha watumiaji wengine). Huruhusiwi kunakili, kutoa nakala, kuchapisha upya, kupangua, kuunda upya, kupakua, kutuma, kutangaza, kusambaza, kuwezesha kupatikana kwa umma au vinginevyo kutumia maelezo ya www.news4timeblog.comkwa namna ambayo ni nje ya matumizi yako binafsi, yasiyolenga kibiashara. Pia unakubali kutokukabilina, kubadilisha au kutengeneza kazi nyingine kutokana na maelezo yoyote ya www.news4timeblog.comisipokuwa tu kwa matumizi yako binafsi yasiyo ya kibiashara. Matumizi mengine yoyote ya maelezo ya www.news4timeblog.comyanahitaji idhini rasmi ya N4T kimaandishi.
* Majina, picha na nembo zinaitambulisha N4T, www.news4timeblog.com) au pande nyingine na bidhaa zao na huduma zinalindwa na hakimiliki, haki ya kubuni, na alama za www.news4timeblog.comna/au pande nyingine. Hakuna sehemu ya masharti haya itakayochukuliwa kama ni kutoa leseni yoyote au haki ya kutumia alama yoyote ya kibishara, haki ya kubuni au haki miliki ya N4T, www.news4timeblog.comau upande mwingine wowote ule.
Iwapo hutaki kutoa ruhusa kwa N4T kulingana na masharti yaliyotajwa hapo juu, tafadhali usiwasilishe au kubadilishana mchango wako kwa, au na www.news4timeblog.com
11. Katika tukio la mchango unaohusiana na habari tafadhali kumbuka hapa huenda ikabadilishana na washirika wa N4T katika nchi nyingine; haya ni mashirika ya utangazaji yanayoheshimika ambayo hayaruhusiwi kubadili maelezo kwa namna yoyote ile au kuyatoa kwa mashirika mengine ya utangazaji ya Uingereza au ya uchapishaji.
12. Iwapo una maswali yoyote yale kuhusu maelezo ya mchango unaotolewa kwa news4timeblog.com, tafadhali angalia [Maelezo Yanayotokana na Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara na Watumiaji]
* Ili kushiriki na kutoa mchango katika sehemu zilizochaguliwa za kijamii katika news4timeblog.com (ikiwemo ubao wa ujumbe na blogs) huenda ukahitajika kujisajili. Maelezo yoyote yale ya kibinafsi yanayotolewa kwa news4timeblog.com kama sehemu ya mchakato wa usajili huu au mwiingiliano wowote ule na news4timeblog.com yatachukuliwa, kuhifadhiwa na kutumiwa kulingana na sera ya faragha .
Wiji
Kwa kupakua na kusanikisha programu za N4T zinazoweza kufutikwa ("Wiji ya N4T") na kutumia kuonyesha maudhui ya N4T ("Maudhui ya N4T") kwenye kompyuta yako unakubaliana na masharti yaliyoainishwa hapo chini.
Masharti ya Wiji
3. Waranti & Uwajibikaji
3.1 Wiji za N4T na Maudhui ya N4T zinaundwa kwa msingi wa "kama zilivyo" na "kama zinavyopatikana" na unapakua, kusanikisha na kutumia Wiji za N4T na kuangalia Maudhui ya N4T kwa utashi na madhila yako.
3.2www.news4timeblog.comimechukua tahadhari kuhakikisha kuwa Wiji za N4T Widget na Maudhui ya N4T kuepusha upungufu, makosa, virusi au hitilafu, hata hivyo www.news4timeblog.comhaisemi kila kitu kitafanya kazi bila matatizo.
3.3 Kadri inavyoruhusiwa kisheria, N4T haitoi hakikiso la aina yoyote (lidhaniwalo, lazima ay vinginevyo) kuhusiana na Wiji ya N4T, Maudhui ya N4T au tovuti ya N4T na N4T haitahusika kwa hasara yoyote au uharibifu utakaotokana au kuhusishwa na Wiji ya N4T au Maudhui ya N4T.
3.4 Unashauriwa kuchukua tahadhari zote kulinda kompyuta yako isiambukizwe virusi.
3.5 www.news4timeblog.cominaweza kubadilisha Maudhui ya www.news4timeblog.comkwa utashi wake na inaweza kuzuia matumizi ya Wiji ya N4T endapo utakiuka Sheria hizi za Mtumizi wa Mwisho.
4. Jumla
4.1 Masharti haya ya Mtumizi wa Mwisho yatatafsiriwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania na mashauri yayasimamiwa tu na Mahakama za Tanzania (Tanzania Courts).
[Rudi juu]
Ujumla
* Iwapo masharti yoyote katika haya yanaonekana kuwa ni kinyume cha sheria, batili au vinginevyo hayawezekani kutekelezeka kutokana na sababu za kisheria katika nchi au jimbo lolote lile ambako masharti haya yamelengwa kufanya kazi, basi kwa kiwango na ndani ya uwezo wa kisheria ambako masharti hayo ni kinyume na sheria, batili au hayatekelezeki, yatafutwa kutoka katika masharti haya na masharti yaliyobaki yataendelea kuwepo na kutumika.
* Kushindwa au kuchelewa kwa N4T kufanyia kazi au kutekeleza haki yoyote ile katika masharti haya haiondolei N4T haki ya kutekeleza haki hiyo.
* Matumizi ya tovuti ya [www.news4timeblog.com] yanahusishwa na masharti na kanuni za Kiingereza , ambayo ni lazima yatafsiriwe kulingana na sheria ya Tanzania na kuhusishwa chini ya uwezo wa kipekee wa kimahakama katika mahakama za Tanzania.
[Rudi juu]
Iwapo una maswali maalum kuhusu Masharti ya Matumizi haya, tafadhali tuma ujumbe wa barua pepe email [SEHEMU KUU YA BARUA PEPE Hapa ].