Kwa sasa Wasanii Kutoka Iringa wanakuja kwa Kasi tofauti na kipindi kilichopita Gem Kuwa ngumu kwa Upande wao. Hapa na mleta kijana Mwingine kutoka Iringa anayejulikana kama Sady akiwa amewashirikisha kundi la 2Nice ''Usiondoke'' Ukiwa umefanyika kwenye Studio za New Record Chini ya Producer Emo Da Pro. Bonyeza Play Kuisikiliza.
Exclusive News4timeblog: Baada ya msanii Meda Kutoka iringa Kuimba wimbo wa Barua kwa Diamond, Namleta kwenu msanii Mwingine Kutoka Iringa Sady Ft 2Nice na wimbo wake Unaojulikana kwa ''Usiondoke''Upakue na Kusikiliza Hapa.

No comments