Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Travel

Movie

Cute

Love Zone

Slider

Documentary

Videos

» » » » Ukatili Huu Umepitiliza!!!! Ajifungua Mtoto na Kumtupa Dampo!!! Huku aliyemtupa akiwa Haijulikani Alipo.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Picha ikiwa inaonyesha Kitoto kikiwa kimetupwa kwenye Dampo Makaratasi unayoyaona yalitumika kumziba.

Na Alen John.
Katika kipindi cha mwisho wa mwaka tumekuwa tukishuhudia matukio mbalimbali ambayo mengine yakiwa yanasababishwa na sisi binadamu na mengine mengine yakiwa yanajitokeza kutokana na mazingira tunayoishi na matukio mengi yakiwa niyakuhuzunisha,Mabaya na hata mazuri pia.

Tukio ambalo ni lakusikitisha ni hili lililotokea jana ambambo mwanamke mmoja alijifungua na kutupa kichanga Dampo akiwa kakifunga kwenye Mfuko wa Plasstik maarufu kama Rambo. Kwa mazingira na hali halisi ya tukio inaonyesha alijifungulia hapo hapo Dampo na kumwacha hapohao mtoto huyo na Ndipo asubuhi ya leo watu waliokuwa wakielekea kwenye shughuli zao zakila siku walipomkuta mtoto huyo tayari akiwa amesha Fariki.

Tulifanikiwa kuongea na mmoja aliyekuwa wa kwanza kumwona wakati akiwa anapita  alisema ''Nilikuwa na pita nikapata wazo lakuangalia mtoni na ndipo nikaona kitu kama mtoto kikiwa kimezungukwa na nzi ndipo nilipoamua kusogea jirani na kugundua kuwa ni mtoto'' Alisema Shuhuda Huyo.
Juhudi za Kumpata mwanamke aliye fanya Kitendo hicho bado hazijafanikiwa japo watu wa mtaa huo wa meamua kuzunguka mtaa hadi mtaa,Nyumba hadi nyumba ili kubaini aliyefanya Kitendo Hicho Cha Kikatili.

Unyama huo umefanyika Maeneo ya Kimara Kilungule Mtaa Wa Dole ambapo Polisi walishapewa Taarifa Toka Asubuhi Lakini Mpaka chanzo chetu cha habari kinatoka eneo la tukio walikuwa bado hawajafika.

Hapo chini ni Picha zikionyesha Kichanga kikiwa Kimetupwa na tayari kikiwa Kimefariki. 

  Picha ya Mtoto huyo akiwa ameshafariki baada ya kutelekezwa na Mama yake alipojifungua.


 Wananchi waliokuwa wakiangalia mwili wa Kichanga Huyo aliye tupwa Dampo.


Unafikiri chanzo Hasa kinachosababisha mama kubeba ujauzito na kufika wakati wa kujifungua akaamua kumtupa mtoto nini sababu? Toa maoni yako hapo chini.







About Mwananchi Kweli

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply