Watu wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani na mtu mfupi zaidi duniani walikutana kwa mara ya kwanza kwenye maadhimisho ya ‘Guinness World Record Day’ huko London, Uingereza Nov.13.
Mtu mrefu zaidi anaitwa Sultan Kösen kutoka uturuki ana urefu wa futi 8, huku mtu mfupi zaidi aitwaye Chandra Dangi kutoka Nepal ana urefu wa inchi 21.5.
No comments