Mziki wa Tanzania unazidi kukua na kuzidi kujulikana Africa na nje ya Afrika kwa kasi na hii imesababisha Tasnia nyingine kuweza kuendelea ikiwa ni Pamoja na Music Production,Video Production pamoja na Cover Design nazo zimekuwa nisehemu ya kuutangaza wimbo na kujulikana zaidi.
Kwa Mwaka 2014 tumeshuhudia mapinduz makubwa kwenye Tasnia ya music tanzania ambapo tufanikiwa hata kutwaa tuzo kubwa kama Tuzo za CHOMVA,Afrima na nyingine Kubwa na kuweza kuiletea sifa Tanzania.
Kwa mara ya kwanza mtandao wa News4timeblog.com inaweza kukuletea Top10 Music Cover zilizokuwa nzuri zaidi kwa Mwaka 2014. Hapa tumeangalia Design,Graphic, Picture pamoja na mambo mengine yanayohusiana na Graphics.
Tumeorodhesha na majina Ya waliyo ya Design japo wengine ilikuwa ni ngumu kuwafamu kutokana na Kutokuweka signature kwenye kazi Zao. Tizama Listi hapo chini na utoe maoni kitu gani kiongezwe kwenye Cover Design kwa 2015.
NB: Listi Hapo chini ni kwa mujibu wa mtandao wa News4timeblog.com Hivyo unaweza kutuarifu kama kuna Cover ambalo wewe unaona lingeweza kuchukua Nafasi kwenye hiyo listi na haukuliona Coment yako hapo chini Ni Muhimu na Pia unaweza kutuandikia kwa info@news4timeblog.com .
No comments